Friday, October 18, 2013

SEMINA JUU YA UGONJWA WA MNYAUKO UNAOSHAMBULIA MIGOMBA

 Mtafiti mkuu wa kituo cha utafiti wa mazao cha Maruku, Innocent Ndyetabula akieleza namna ya wakulima wa kijiji cha Nshumba kilichopo katika tarafa ya kiziba wanavyoweza kujiepusha na ugonjwa wa mnyauko.
 Wananchi wa kijiji cha Nshumba.




No comments:

Post a Comment