Saturday, October 19, 2013

MZEE NGEZE AADHIMISHA SHEREHE YA KUFIKISHA MIAKA SABINI


 Bw.Nyamoni kushoto na mbunge wa zamani wa jimbo la Bukoba mjini, Mujuni Kataraiya.
 Bwana na bibi Pius Ngeze.
 Mkuu wa mkoa wa Kagera akizindua kitabu cha kuzindua kitabu kinachoelezea maisha ya Bwana Pius Ngeze.

 Askofu msaidizi wa jimbo la Bukoba, Methodius Kilaini, akiwa na waziri wa nyumba, ardhi na maendeleo ya makazi, Profesa Anna Tibaijuka.

No comments:

Post a Comment