Wednesday, October 23, 2013

MKUTANO WA DHARULA WA CHAMA CHA USHIRIKA KAGERA

 Baadhi ya wajumbe wa bodi ya KCU, kushoto, Bw. Baruti na Kulia ni Alexanda Ngalinda, makamu Mwenyekiti.
 Mwenyekiti wa bodi ya KCU, John Binunshu kushoto na meneja mkuu wa Vedasto Ngaiza wakiteta jambo.

 Baadhi ya wajumbe wa mkutano mkuu wanaowawakilisha wakulima.
Chama kikuu cha ushirika cha Kagera kimeitisha mkutano mkuu kujadili namna ya kukinusuru kufuatia kuporiomoka kwa bei ya ununuzi wa kahawa kwenye soko la dunia, mkutano huo ulikuwa na lengo la kuwaomba wajumbe kuipa baraka bodi ya chama hicho ili ikubali kuidhinisha kiasi cha shilingi bilioni 1.8 il.i zisaidie kufufua msimu wa ununuzi wa kahawa ulikuwa umesimama baada ya chama hicho kukubwa na ukata.

No comments:

Post a Comment