Friday, October 18, 2013

MAADHIMISHO YA SIKU KIMATAIFA YA FIMBO NYEUPE

 Profesa Anna Tibaijuka, waziri wa nyumba , ardhi na maendeleo ya makazi  kushoto na naibu waziri wa afya na ustawi wa jamii Seif Rashid wakisalimiana na mwenyekiti wa wasiiona wakati wa maadhimisho ya kimataifa ya siku ya fimbo nyeupe yaliyofanyika kitaifa mkoani Kagera.
 Wasiiona wakiingia kwenye uwanja wa jimkana wakisindikizwa na bendi.





Mkuu wa mkoa wa Kagera, Kanali mstaafu Fabian Massawe kushoto akiangalia kwa makini burudani mbalimbali.

No comments:

Post a Comment