Tuesday, October 15, 2013

KAMPENI KWA UMMA JUU YA SOKO LA KUKUZA UJASILIAMALI -KAGERA

 Baadhi ya wamiliki wa makampuni walioudhuria semina kampeni kwa umma kuhusu soko la kukuza ujasiliamali iliyofanyika kwenye ukumbi wa hoteli ya walkgard iliyoko mkoani Kagera katika manispaa ya Bukoba.
 Mkurugenzi wa hoteli ya walkgard, Adventina Matungwa kulia na Adelina Rutabanzibwa kushoto wakisikiliza kwa makini maelezo yaliyokuwa yakitolewa na maofisa wa soko la hisa la Dar es salaam.



 Mratibu na Meneja miradi wa soko la hisa Dar es salaam, Magabe Maasa akitoa somo.



Afisa uendeshaji mwandamizi wa soko la hisa Dar es salaam, Sara Mrema ambaye ni mmoja walitoa somo juu ya kampeni kwa umma juu ya soko la kukuza ujasiliamali.

No comments:

Post a Comment