Friday, September 20, 2013

WAZIRI MKUUPINDA WILAYANI NGORONGRO

   Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (kushoto) wakipokea salamu maalum kutoka kwa wasichana  wa Kibarabaig baada ya kuwasili katika kijiji cha Enduleni wilayani Ngorongoro Septemba 9, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizindua wodi ya Wazazi katika Kituo cha Afya cha Enduleni wilayani  Ngorongoro Septemba 19, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Baadhi ya Wazee wa Kimasai wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alizungumza nao kwenye Kituo cha Afya cha Enduleni wialyani Ngorongoro Septemba 19, 2013.  (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MK

No comments:

Post a Comment