Wednesday, September 04, 2013

WAZIRI MKUU BUNGENI DODOMA


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu  kwenye viawnja vya Bunge Mjini Dodoma  Septemba 4, 2013. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

  Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Adam Malima   kwenye Ofisi za Bunge Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge wa Viti Maalum, Fatuma  Mikidadi (kulia)  na Rukia Kassim Ahmed. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment