Monday, September 02, 2013

WAZIRI MKUU AZINDUA KITABU KAMATI YA BUNGE

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizindua Kitabu cha Miaka 10  ya Kamati za Bunge za Hesabu za Serikali   kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika(SADCOPAC) baada ya Kufungua Mkutano wa mwaka wa  WA SADCOPAC kwenye kituo cha Mikutano cha kimataifa cha Arusha AICC
 Mzee wa Kimasai akipuliza zumari wakati kikundi cha ngoma cha wamasai cha Arusha kilipotumbuiza katika mkutano wa mwaka wa  Kamati za Bunge za Hesabu za Serikali   kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADCOPAC) kwenye kituo cha Mikutano cha kimataifa cha Arusha AICC.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na washiriki wa  Mkutano wa Mwaka   wa  Kamati za Bunge za Hesabu za Serikali   kwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADCOPAC)  baada ya kufungua  mkutano wao kwenye kituo cha Mikutano cha kimataifa cha Arusha AICC.

No comments:

Post a Comment