Monday, September 16, 2013

OPERATION YA KUWAONDOA WAHAMIAJI HARAMU NA WANAOMILIKI SILAHA KINYUME NA SHERIA

 Kaimu mkuu wa mkoa wa Kagera, Kanali mstaafu Issa Njiku, akiongea wakati wa kikao cha kuelezea hali ya operation ya kuwaondoa wahamiaji haramu na wanaomiliki silaha kinyume na sheria.
 Baadhi ya waandishi wa habari.
 Baadhi ya maofisa wa jeshi la polisi kagera.
 George Kombe, afisa uhamiaji wa mkoa wa Kagera.


 Baadhi ya sare za kijeshi zilizokamatwa.
 Kiongozi wa operation Simon Sirro akionyesha bunduki zilizokamatwa kufuatia operation inayoendeshwa katika mikoa ya Kigoma, Kagera na Geita.


No comments:

Post a Comment