Wednesday, September 18, 2013

MAWAZIRI WA NCHI ZA RWANDA, BURUNDI NA TANZANIA WATIA SAHIHI ZA MKATABA WA UJENZI WA KITUO CHA KUZALISHA UMEME

 Mwakilishi wa benki ya dunia akitoa maelezo wakati wa kusaini mkataba wa ujenzi wa mradi wa umeme wa maji utakaozalishwa na maporomoko ya rusumo benki hiyo imetoa zaidi ya dola 340 milioni kuwezesha mradi huo.
 Waziri wa nishati na madini wa nchi ya Burundi.
 Waziri wa nishati na madini wa nchi ya Rwanda.
 Waziri wa nishati na madini wa serikali ya Tanzania, Profesa Sospeter Muhongo.
 Baadhi ya maofisa wa nchi husika.
 Waziri wa nishati na madini wakiwa katika picha ya pamoja.


No comments:

Post a Comment