Friday, August 09, 2013

WAZIRI MKUU PINDA NCHINI UINGEREZA

 Waziri  Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakisalimiana na baadhi ya watumishi  wa ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza  uliopo London baada ya kuwawsili kwenye ubalozi huo kuzungumza na watanzania waishio Uingereza Agosti 6, 2013. (Picha na Ofisi ya Wazire Mkuu)
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakisalimiana na Watoto Tanzania nchini Uingereza uliopo London  kuzungumza na watanzania waishio Uingereza Agosti 6,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


No comments:

Post a Comment