Friday, August 30, 2013

WAZIRI MKUU PINDA MKOANI TABORA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikazama mizinga ya kisasa katika maonyesho ya Chuo cha Nyuki cha Tabora akiwa mgeni katika mahafali yaChuo hicho  mjiniTabora Agosti 30, 2013. Wapili kushoto ni mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Chuo hicho, Liana Hassan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama baadhi ya vifaa vya kusindika asali katika maonyesho ya Chuo cha Nyuki cha Tabora  ambako alikuwa mgeni rasmi katika mahafali ya Chuo hicho Agosti 30,2013. Kushoto ni Waziri  wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwezeshaji na Ukwekezaji, Dr. Mary Nagu na Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatuma Mwasa na kushoto kwa Waziri Mkuu ni Mwenyekiti wa Bodi ya Baraza  la Chuo hicho, Liana Hassan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua  bwalo la chakula la Chuo cha Nyuki cha Tabora akiwa mgeni rasmi katika  Mahafali ya Chuo hicho Agosti 2013.  Wapili kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii,Balozi  Hamisi Kagasheki  na kulia ni Mwenyekiti wa Baraza la Chuo hicho, Liana hassan na Watatu Kulia ni Mbunge wa Tabora Mjini, Aden Rage. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment