Friday, August 23, 2013

WARSHA ILIYOANDALIWA NA SAWAKA KWA WAANDISHI WA HABARI

 Mwenyekiti wa zamani wa CCM, Pius Ngeze (kushoto) alikuwa mmoja wa walioudhuria warsha iliyoandaliwa na SAWAKA ambayo ilifanyika kwenye ukumbi wa vijana unaomilikiwa na ELCT Bukoba.


 Mratibu wa SAWAKA, Livingstone akielezea shughuli zinazofanywa na shirika hilo lisilo la kiserikali.

No comments:

Post a Comment