Saturday, August 24, 2013

RAIS KIKWETE AZINDUA BARAZA LA USHAURI LA WAZEE LA CCM

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na  Makamu Mwenyekiti Mstaafu wa CCm, John Malecela kabla ya kuzindua  Baraza la Ushauri la Wazee wa CCM kwenye viwanja vya Ofisi Kuu ya CCM mjni Dodoma  Agosti 24, 2013. Wengine Pichani  ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Rais Mstaafu. Ali Hassan Mwinyi, Rais wa Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein, Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa na Rais Mstaafu wa Zanzibar, Aman Karume. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Mwenyekit wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akizungumza wakati alipozindua Baraza la Ushauri la Wazee wa CCM kwenye viwanja vya Oisi Kuu ya CCM mjini Dodoma Agosti 24,2013.Wengine pichani kutoka kshoto ni Rais wa Zanzibar na Makamu Mwenyekiti wa CCM , Zanzibar, Dr. Ali Mohamed Shein, Katibu Mkuu wa  CCM, Abdulrahman Kinana, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, Rais Mstaafu wa Zanzibar, Aman Karume na Mkamu Mwenyekiti wa CCM Mstaafu, Pius Msekwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jaky Kikwete  akibonyesza king'ola kuzindua  Baraza la Ushauri la Wazee wa CCM kwenye viwanja vya Ofisi kuuya  CCM mjini Dododma Agosti 24, 2013.Wengine  pichani ni Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Rais wa Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein, Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela, Rais Mstaafu, Ali hassan Mwinyi, Rais Mstaafu, Benjamini Mkapa, Rais Mstaafu wa Zanzibar, Amani Karu na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM Pius Msekwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment