Tuesday, August 20, 2013

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MWAKILISHI MAALUMU WA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa  Umoja wa Maitafa katika Darfur Bw. Mohamed Ibn Chambers aliyekutana na kufanya mazungumoz naye Ikulu jijini Dar es salaam.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa  Umoja wa Maitafa katika Darfur Bw. Mohamed Ibn Chambers aliyekutana na kufanya mazungumoz naye Ikulu.

No comments:

Post a Comment