Tuesday, August 27, 2013

MKUTANO WA KUJADILI RASIMU YA KATIBA ULIOANDALIWA NA MTANDAO UNAOYAUNGANISHA MASHIRIKA YASIYOKUWA YA KISERIKALI WILAYANI BUKOBA NA MISENYI




 Baadhi ya washiriki waliojadili rasimu ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.


 Katibu tawala msaidizi katika mkoa wa Kagera, Richard Kwitega akifungua kikao cha kujadili rasimu ya katiba kilichofanyika kwenye ukumbi wa hoteli ya Lwabizi iliyoko katika manispaa ya Bukoba.



No comments:

Post a Comment