Sunday, August 04, 2013

MAKAMBA AFUNGUA SACCOS YA VIJANA WILAYANI MISENYI



 Naibu waziri wa sayansi na teknologia Januari Makamba akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa CCM na serikali wa wilaya ya Misenyi.
Makamba akiwasili kwenye ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Misenyi kufungua SACCOS ya vijana, kushoto ni mkuu wa wilaya ya Misenyi Kanali mstaafu Issa Njiku na kulia kwake ni kamanda wa vijana wa CCM wa wilaya ya Misenyi, Protace Ishengoma.




1 comment: