Saturday, August 10, 2013

KATIKA KUSHEHEREKEA SIKUU YA IDDI WATANZANIA WAMEOMBWA KUDUMISHA AMANI ILIYOPO HAPA NCHIN


Alhaji Yusufu Saidi Mfinanga wa kibaha Njuweni Pamoja na Mke wake Mama Mfinanga wamewaomba  Watanzania   kudumisha amani na upendo kwa kuondoa tofauti zetu za kidini kisiasa kwani kufanya hivyo mwenyezi mungu ataendelea kuijalia amani na baraka iliyo kuwepo  hapa nchini  kwani kupendana kutaleta maendeleo katika nchi tuswali na kuheshimu mamlaka za serekali zilizopo kwani mafundisho ya dini zote yafundisha amani upendo na utii.

No comments:

Post a Comment