Monday, August 19, 2013

HITIMISHO LA MASHINDANO YA KANDANDA YA KOMBE LA MBUNGE WA JIMBO LA BUKOBA MJINI BALOZI KHAMIS KAGASHEKI

 Baadhi ya washabiki maarufu katika manispaa ya Bukoba wakifuatialia mchezo wa fainali kati ya timu za kata ya Bilele na Rwamishenye, timu ya kata ya Bilele iliibuka bingwa baada ya kufunga timu ya Rwamishenye kwa njia ya mikwaju ya penalti.

 Balozi kagasheki akibadilishana mawazo na mwenyekiti wa KFF, Jamal Malinzi kabla ya kukabidhi kombe .
Mmoja wa wachezaji wa timu ya Bilele akivalishwa medali ya dhahabu.

No comments:

Post a Comment