Monday, August 05, 2013

BANDA LA MFUKO WA HIFADHI KWA WATUMISHI WA SERIKALI NDANI YA VIWANJA VYA NANE NANE KAGERA

 Afisa mfawidhi PSPF kagera, Thadeo Rweyunga akitoa maelezo juu ya mfuko huo kwenye viwanja vya nane nane Kyakailabwa.

 Mkuu wa wilaya ya Bukoba, Bi. Ziporah Pangani akisaini kitabu baada ya kutembelea banda la PSPF.

No comments:

Post a Comment