Wednesday, August 14, 2013

BAADHI YA WANANCHI WA MANISPAA YA BUKOBA WAKUNWA NA KAULI NA NAPE MNAUYE


 Baadhi ya wananchi wa manispaa ya Bukoba wakipongezana kufuatia hatua na katibu wa itikadi na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa ya kubatilisha uamzi wa halmashauri kuu ya mkoa wa Kagera iliyoutoa katika kikao chake wa kuwafukuza uanachama madiwani nane wa manispaa hiyo wanaotaka kumg'oa Meya wa manispaa hiyo Anatory Amani, madiwani hao wanataka kumg'oa kwa kile wanachodai kuwa hawana imani naye hasa katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo ambayo ni pamoja na ujenzi wa soko na upimaji wa viwanja 5,000.




No comments:

Post a Comment