Friday, August 30, 2013

PRESIDENT KIKWETE ATTENDS UN-EUROPEAN COMMISSION HIGH LEVER RETREAT IN ALPBACH, AUSTRIA

  President Jakaya Mrisho Kikwete walks with  Ms Kristalina Georgieva, the  European Commissioner for International Cooperation and Humanitarian Aid, shortly before the start of the High-level Retreat on "New Ideas for a Fair Globalization in Alpabch, Austria August 30, 2013.

STATE HOUSE PHOTOS


 President Jakaya Mrisho Kikwete with Mr Manuel Jose Barroso, President of the European Commission, at the start of the High-level Retreat on "New Ideas for a Fair Globalization in Alpabch, Austria August 30, 2013.
 President Jakaya Mrisho Kikwete walks with Dr Jeffrey Sachs, Director of Earth Institute at the Columbia University, as they head to the meeting hall to  attend the High-level Retreat on "New Ideas for a Fair Globalization in Alpabch, Austria August 30, 2013.
President Jakaya Mrisho Kikwete attends the High-level Retreat on "New Ideas for a Fair Globalization in Alpabch, Austria August 30, 2013. Left are members of his delegation, Professor Rwekaza Mukandala, Vice Chancellor of the University of Dar es salaam and Profesor Joseph Semboja, Principal Uongozi Institute.

WAZIRI MKUU PINDA MKOANI TABORA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikazama mizinga ya kisasa katika maonyesho ya Chuo cha Nyuki cha Tabora akiwa mgeni katika mahafali yaChuo hicho  mjiniTabora Agosti 30, 2013. Wapili kushoto ni mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Chuo hicho, Liana Hassan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama baadhi ya vifaa vya kusindika asali katika maonyesho ya Chuo cha Nyuki cha Tabora  ambako alikuwa mgeni rasmi katika mahafali ya Chuo hicho Agosti 30,2013. Kushoto ni Waziri  wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwezeshaji na Ukwekezaji, Dr. Mary Nagu na Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Fatuma Mwasa na kushoto kwa Waziri Mkuu ni Mwenyekiti wa Bodi ya Baraza  la Chuo hicho, Liana Hassan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua  bwalo la chakula la Chuo cha Nyuki cha Tabora akiwa mgeni rasmi katika  Mahafali ya Chuo hicho Agosti 2013.  Wapili kulia ni Waziri wa Maliasili na Utalii,Balozi  Hamisi Kagasheki  na kulia ni Mwenyekiti wa Baraza la Chuo hicho, Liana hassan na Watatu Kulia ni Mbunge wa Tabora Mjini, Aden Rage. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

PRESIDENT KIKWETE IN AUSTRIA

 President Jakaya Mrisho Kikwete is received by the Mayor of Salzburg, Mr Wilfred Haslauer at the Salsburg Airport in Austria on Thursday August 29, 2013 ahead of a High Level Retreat on “NEW IDEAS FOR A FAIR GLOBALISATION”. The retreat   is hosted and co-chaired by the President of the European Commission Mr Jose Manuel  Barroso and the UN Under-Secretary General for Humanitarian Affairs and Emergency Relief Coordinator, Ms Valerie Amos. STATE HOUSE PHOTO
The Tanzania flag flies alongside others of different countries at the Alpbach resort in Austria at the opening of the  High Level Retreat on “NEW IDEAS FOR A FAIR GLOBALISATION”. The retreat is hosted and co-chaired by the President of the European Commission Mr Jose Manuel  Barroso and the UN Under-Secretary General for Humanitarian Affairs and Emergency Relief Coordinator, Ms Valerie Amos. STATE HOUSE PHOTO

Wednesday, August 28, 2013

Urusi yapinga azimio la kuiadhibu Syria


Rais wa Marekani Barack Obama
Marekani imeachana na jitihada za kutafuta uungwaji mkono wa baraza la usalama la umoja wa mataifa kuichukulia hatua Syria kwa utumiaji silaha za kemikali.
Hii ni kufuatia kukataa Urusi kwa rasimu ya maazimio yaliowasilishwa kwenye mkutano wa wanachama watano wa kudumu wa baraza hilo la usalama.
Akilaumu Urusi kwa kile alisema msimamo wake wa kutobadili maoni kwa chochote, Msemaji wa wizara ya mashauri ya kigeni, Maria Harf amsema kuwa Marekani haitaruhusu alichotaja kama uzembe wa kidiplomasia kutumiwa kama ngao ya kutetea Serikali ya Syria. Azimio lilioandikwa na Uingereza lingaliruhusu hatua za kuwalinda raia wa Syria lakini likapingwa na Urusi katika kikao cha wanachama watano wa kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
Wataalamu wa Umoja wa mataifa wa silaha za kemikali
Urusi, ambayo hutoa silaha kwa Serikali ya Syria na pia mshirika wake mkuu kimataifa, ilisema kuwa kura ya azimio hilo inapaswa kuahirishwa hadi tume maalumu ya umoja wa mataifa ya kuchunguza matumizi ya silaha za kemikali nchini humo itakapokamilisha kazi yake.
Msemaji huyo alielezea hali ya Marekani ya kutoridhika na hali ya upole inayoendelea katika Umoja wa Mataifa, na akasisitiza kwamba kwa wakati huu Marekani haioni matumaini yoyote ya kuungwa mkono na Baraza la Usalama la umoja wa Mataifa na kwa sasa itatilia mkazo mashauriano na mataifa mengine washirika kabla ya kuchukua hatua yoyote inayofaa hivi karibuni.
Alisema kuwa hadi kufikia sasa Rais Obama hajafanya uamuzi wowote juu ya hatua inayopaswa kuchukuliwa, lakini akaongeza kuwa ni dhahiri kuwa silaha za kemikali zilitumiwa nchini Syria na kwamba wa kulaumiwa ni utawala wa Rais Assad.

Watoto hunyanyaswa migodini TanzaniaMaelfu ya watoto wanaofanya kazi katika machimbo ya madini nchini Tanzania wanakabiliwa na tishio kubwa la kupata magonjwa na hatimaye kufa.
Shirika la kutetea haki za kibinadam la Human Rights Watch, limefichua ushahidi zaidi kuhusu unyanyazaji wa watoto nchini Tanzania, baadhi yao wenye umri wa miaka minane ambao wanafanya kazi kwa zamu, katika migodi ya madini iliyoko chini ya ardhi, kwa saa ishirini na nne.
Shirika hilo limesema watoto hao wanakabiliwa na tishio la kuvuta hewa ya sumu inayotokana na uchimbaji wa madini ya dhahabu na wakati mwingine kuuawa wakati migodi hiyo, inapoporomoka nyingi zikiwa hazina leseni.
Tanzania ina sheria kali inayozuia watoto kufanya kazi katika machimbo ya madini lakini shirika hilo limesema, serikali ya rais Jakaya Kikwete ni sharti iimarishe juhudi zake za kuhakikisha sheria hizo zimetekelezwa.

Mwanajeshi wa UN auwawa Congomauaji kufuatia mapigano kati ya jeshi na waasi, Goma
Umoja wa Mataifa umesema kwamba mmoja wa askari wake ameuwawa na wengine watatu kujeruhiwa kufuatia mapigano makali na waasi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Msemaji wa Shirika hilo mjini New York, Farhan Haq, hakufichua mwanajeshi huyo ni wa taifa lipi na pia alikataa kutoa taarifa zozote kuhusu wanajeshi waliojeruhiwa.
Majeshi ya Umoja wa Matiafa walitumia helikopta kuwasukuma nyuma wapiganaji wa M23 kutoka maeneo ambayo wamekuwa wakiyashikilia katika mji wa Goma.
Katika mapigano yalitokea wiki iliyopita watu zaidi ya 80 waliripotiwa kuuwawa.
Waasi wa M23 waliuteka mji wa Goma mwaka 2012 lakini walilazimika kujiondoa kufuatia shinikizo kutoka jamii ya kimataifa.
Wakati huu Umoja wa mataifa umetuma kikosi maalum ilikutatua tatizo la uasi katika taifa hilo la Congo lenye utajiri mkubwa wa madini.
Waasi wa M23 wanadai kuwa jeshi la Congo likisaidiwa na kikosi maalum cha umoja wa mataifa lilishambulia mji wa Goma kutoka angani na kwa kutumia silaha nzito nzito.
Wapiganaji wa M23 ni mkusanyiko wa watoro toka jeshi la kitaifa la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Na hadi wakati huu karibu watu 800,000 wametoroka makaazi yao tangu waasi waansihe harakati zao.

Tuesday, August 27, 2013

TFDA YAKABIDHI MASHINE YA KUPIMA MADAWA BANDIA

  Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Huduma Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) Dk. Sikubwabo S. Ngendabanka Akitoa Neno Mabele ya Waandishi wa Habari ( Hawapo Pichani) Kabla ya Kukabidhi Maabara Hamishika.

Dk. Ngendabanka Akimkabidhi Rasmi Maabara Hamishika Kaimu Katibu Tawala Mkoa Bw. Richard N. Kwitega, Katikati ni Mganga Mkuu Hospitali ya Mkoa Dk. Khairoonisa Pathan.

MKUTANO WA KUJADILI RASIMU YA KATIBA ULIOANDALIWA NA MTANDAO UNAOYAUNGANISHA MASHIRIKA YASIYOKUWA YA KISERIKALI WILAYANI BUKOBA NA MISENYI
 Baadhi ya washiriki waliojadili rasimu ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania.


 Katibu tawala msaidizi katika mkoa wa Kagera, Richard Kwitega akifungua kikao cha kujadili rasimu ya katiba kilichofanyika kwenye ukumbi wa hoteli ya Lwabizi iliyoko katika manispaa ya Bukoba.Monday, August 26, 2013

RAIS KIKWETE AMWAPISHA MSAJILI MPYA WA VYAMA VYA SIASA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Msajili wa Vyama vya Siasa mpya Jaji Francis Mutungi Ikulu jijini Dar es salaam.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na  Msajili wa Vyama vya Siasa mpya Jaji Francis Mutungi na viongozi wa vyama vya siasa Ikulu jijini Dar es salaam.
PICHA NA IKULU

MAMBO YA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM

 Mwenyikiti wa CCM,  Rais Jakaya Kikwete akiteta na
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana  kabla ya kufungua mkutano wa
Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mjini Dodoma Agosti 26,2013. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM wakiteta nje
ya ukumbi wa CCM  wa White House mjini Dodoma Agosti 26,2013. Kutoka
kushoto ni Joyce Masunga, Raphael Chegeni na Samuel Sitta. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)


KIKAO CHA WAANDISHI WA HABARI NA UONGOZI WA TULAWAKA

 Joas Kaijage, Mathias Byabato na jonas Makwabe.
 Mariam Emil wa star TV akisikiliza kwa makini, kulia ni mpiga picha wa Channel Ten Bw. Benson.
Kutoka kulia ni Charles Mwebeya wa TBC, Maki Ngaiza Kasibante FM Radio.

HALMASHAURI YA WILAYA YA BUKOBA YAPOKEA VIFAA VYA TIBA

 Dr. Regina Kapinga (kushoto), mwakilishi wa Bill Gate foundation akifafanua jambo, alikuwa katika hoteli ya Kolping iliyoko katika manispaa ya Bukoba.
 Bw.Shumbusho akionyesha vifaa vya tiba.

Dr Mugula akipokea karatasi yenye vifaa vya tiba.

Sunday, August 25, 2013

MAMBO YA MAADHIMISHO YA SIKU YA POLISI DAY KAGERA

 Jeshi la polisi mkoani Kagera katika kuadhimisha siku ya jeshi hilo lilishiriki kikamilifu katika zoezi zima la kufanya usafi katika mazingira ya Hospitali kuu ya mkoa wa Kagera.
 Baadhi ya askari walioshiriki kwenye zoezi la usafi wakiongozwa na mtaalamu Christopher.

 Baadhi ya askari walioshiriki kwenye zoezi la usafi.


Saturday, August 24, 2013

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII AKABIDHI PIKIPIKI 102 KWA VIJANA KWA LENGO LA KUWAONGEZEA KIPATO


 Baadhi ya viongozi wa CCM katika manispaa ya Bukoba.


 Balozi, Kagasheki akiwa amepanda moja ya pikipiki baada ya kuzikabidhi ikiwa ni ishara ya uzinduzi.

 Balozi Kagasheki akikabidhi pikipiki alizozitoa kwa mkopo katika manispaa ya Bukoba.

Balozi Kagasheki akiwa na wadau wa maendeleo mkoani Kagera.