Sunday, July 07, 2013

WAZIRI MKUU ASHIRIKI MAZISHI YA DIWANI

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitupa udongo  kwenye kaburi la aliyekuwa diwani wa kata ya Nduli, CCM , Iddi chonanga katika mazishi yaliyofanyika  mjini Iringa  Julai 5, 2013.Mheshiiwa Pindaalikuwa njiani akielekea Njombe kwa ziara ya kikazi. Nyuma yake ni mkewe Tunu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Mizengo Pida akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa diwani wa kata ya Nduli ,Iringa, Marehemu, Iddi Chonanga wa CCM katika mazishi yaliyofanyika Iringa mjini Julai 5,2013. kushoto kwake ni mkewe Tunu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ambayepia ni mlezi wa CCM mkoa wa Iringa akitoa salamu za CCM katika  mazishi ya aliyekuwa Diwani wa Kata ya Ndulu, CCM, Iddi Chonanga  mjni Iringa Julai 5, 2013. Alikuwa njiani akielekea Njombe kwa ziara ya kikazi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Mke wa Waziri Mkuu, Mama tunu Pinda (aliyekaa kushoto)  akiwa na baadhi ya waombolezaji walioshiriki katika mazishi ya aliyekuwa Diwani wa Kata ya Nduli , CCM, Iddi Chonanga yaliyofanyika mjini Iringa Julai 5,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment