Monday, July 15, 2013

RAIS KIKWETE NA WAGENI WALIOMTEMBELEA IKULU

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Naibu Waziri Mkuu wa Kuwait na Waziri wa mambo ya Nje wa Kuwait Mhe Sabah Khalifa aliyemtembelea leo Ikulu Dar es salaam.

 Rais Jakaya Mrisho kikwete akiongea na waziri wa uingereza anayeshughulikia maswala ya Afrika Mhe Mark Simmonds Ikulu jijini Dar es salaam.

Rais Jakaya Mrisho kikwete akimkaribisha na waziri wa uingereza anayeshughulikia maswala ya Afrika Mhe Mark Simmonds Ikulu jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment