Sunday, July 07, 2013

MXHAKATO WA KUMALIZA MATANGA YA MAREHEMU REVELIAN MWESIGA

 Baadhi ya watoto wa marehemu Revelian Mwesiga wakienda katika kijiji cha Kishanje kumaliza taratibu za matanga ya marehemu Revelian Mwesiga aliyefariki hivi karibuni.
 Mtoto mkubwa wa marehemu Mwesiga, Victor Mwesiga.
 Baadhi ya watoto wa marehemu Mwesiga katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment