Tuesday, July 02, 2013

MWENGE WAZINDUA BOTI IENDAYO KWA KASI YAKUSAFRISHA WATALII NDANI YA ZIWA VICTORIA

 Boti iliyozinduliwa ikitaka maji.

 Mwenge ukiingia kwenye ufukwe wa ziwa Victoria kuzindua mradi wa Boti.

 Mkuu wa wilaya ya Bukoba, Bi. Ziporah Pangani.
 Meneja uendeshaji wa kampuni ya utalii ya Kiroyera, William Rutta akisoma taarifa ya mradi.
Kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa, Ali Sumali akizindua mradi wa boti ya kusafirisha watalii ndani ya ziwa victoria inayomilikiwa na kampuni ya utalii ya Kiroyera.

No comments:

Post a Comment