Tuesday, July 16, 2013

BAADHI YA VIONGOZI WA CHADEMA

 Baadhi ya viongozi wa chama cha maendeleo na demokrasia (CHADEMA) wakibadilishana mawazo, walikuwa ndani ya hoteli ya kimataifa ya Coffee iliyoko katika manispaa ya Bukoba, wa pili toka kushoto ni mbunge wa jimbo la Nyamagana, Ezekiel Wenje na kulia kabisa ni mbuinge wa viti maalumu Bukoba, Bi. Lwamlaza.


Anzibert Ngurumo.


No comments:

Post a Comment