Friday, June 14, 2013

RAIS KIKWETE APOKEA UJUMBA TOKA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA


Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe maalumu toka kwa Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt Donald Kaberuka ulioletwa kwake na mwakilishi mkazi wa Benki hiyo nchini Mhe Tonia Kandiero leo Juni 13, 2013 katika Ikulu Ndogo Dodoma

No comments:

Post a Comment