Tuesday, June 11, 2013

MLIPUKO WA UGONJWA WA MALARIA ULIVYOITESA WILAYA YA MULEBA

  Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kagera Mhe. Zipporah Lyoni Pangani na Mkuu wa Wilaya Muleba Pamoja na Wataalam wa Afya Wakigawa Vyandarua Mara Baada ya Kuwaelimisha Wananchi Juu ya Nia Bora za Kuikinga na Mlipuko wa Malari Wilayani Muleba Kwenye  Mkutano wa Hadhara Katika Kata ya Kasharunga.

No comments:

Post a Comment