Friday, June 14, 2013

DR. KAMALA NCHINI UHOLANZI

 Mandhari ya mji wa Rotterdam.
 Hii ni Roboti inayokamua Ng'ombe maziwa. Ng'ombe mwingine anaonekana akisubiri zamu yake.
Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya akimuangalia Ng'ombe wa maziwa. Ng'ombe huyu anatoa lita za maziwa Mia moja kila siku. Balozi Kamala na Mabalozi wengine wa Afirka wako kwenye ziara ya mafunzo Uholanzi.
Mabalozi wa Afrika katika Nchi ya Uholanzi wakisiliza mada kuhusu bandari ya Uholanzi. Wa kwanza Kulia ni Dr. Diodorus Buberwa Kamala, Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya.

No comments:

Post a Comment