Monday, May 20, 2013

VODACOM YAHAMASISHA WANAWAKE KUJITOKEZA KUPIMA UGONJWA WA FISTULA

 Shuhuda aliyetibiwa ugonjwa wa Fistula na baadae kupona kabisa.

 Salim Mwalimu akielezea jambo, kulia ni mkuu wa wilaya ya Bukoba Bi Ziporah Pangani, aliyevaa suti ni katibu tawala wa mkoa wa Kagera, Nassor Mnambila.
 Bi Pangani akielezea jambo kabla ya kukabidhi funguo za magari ya msafara wa kuwahamasisha wanawake waende CCBRT kutibiwa Fistula.

 Bi. Pangani akikabidhi fungua.

No comments:

Post a Comment