Wednesday, May 15, 2013

PADRE RUGUNDIZA AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI BRUSSELS

Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya (mwenye tai) akiwa na Padre Antony Rugundiza (kushoto). Padre Antony alimtembelea Balozi Kamala ofisini kwake, Brussels. Leo hii Balozi Kamala na Padre Antony Rugundiza wamekutana na Mkurugenzi Mkuu wa Caritas International na kuwa na mazungumzo na Balozi wa Vatican Ubelgiji.

No comments:

Post a Comment