Monday, May 13, 2013

MKUTANO WA WAPIMA ARDHI TANZANIA

Baadhi ya wadau walioudhuria mkutano wa wapima ardhi toka mkoani Kagera,
 Mkuu wa wilaya ya Muleba Lembres Kipuyo (kushoto) alikuwa mmoja wa walioudhuria mkutano huo,
Waziri wa ardhi =, nyumba na maendeleo ya makazi profesa Anna Tibaijuka akifungua mkutano wa wapima ardhi nchini uliofanyika kwenye ukumbi wa mtakatifu Gasper uliko mjini Dodoma
 Baadhi ya wakurugenzi wa idara ya upimaji,

 Baadhi ya wadau toka mkoani Kagera walioudhuria mkutano wa wapima ardhi.

 Mkuu wa mkoa wa Dr. Dodomar Rehema Nchimbi akiongea wakati wa mkutano wa wapima ardhi.
Profesa Tibaijuka akiwa na mmliki wa mtandao huu, Audax Mutiganzi (kushoto) nje ya ukumbi wa mtakatifu Gasper.

No comments:

Post a Comment