Wednesday, May 01, 2013

MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI-KAGERA

 Msafara wa magari yaliyioshiriki kwenye maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani yaliyofanyika kwenye uwanja wa michezo wa Kaitaba ulioko mkoani Kagera.
 Mvua kubwa iliyonyesha kagera aikuzuia maandamano. kama inavyoonekana hapa.
 Sehemu ya jukwaa.
 Baadhi ya walioudhuria maadhimisho ya siku ya wafanyakazi.
 Mkuu wa jeshi la magereza kagera, Yusuph Kimanji Kulia na afisa utumishi wa mkoa wa Kagera Richard Kwitega walikuwa miongoni mwa walioudhuria sherehe hiyo.
 Wengine walioudhuria.
 Mambo ya burudani toka kwa msanii maarufu Kagera, Babu Rweyemamu.
 Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanali mstaafu Fabian Massawe akihutubia umati wa wananchi walioudhuria sherehe za maadhimisho ya siku ya wafanyakazi duniani yaliyofanyika katika uwanja wa michezo wa Kaitaba.


Mambo ya burudani ndani ya ukumbi wa klabu ya Lina's uliko katika manispaa ya Bukoba, kutoka kushoto ni katibu tawala wa mkoa wa Kagera, Nassor Mnambila, mwemyekiti wa TUCTA Kagera Bw. Kapere myumishi wa kampuni ya simu (TTCL), Mheshimiwa Massawe na mkuu wa wilaya ya Misenyi, Kanali mstaafu Issa Njiku.

No comments:

Post a Comment