Saturday, May 04, 2013

KATIBU MKUU KIONGOZI AKUTANA NA BALOZI WA CANADA

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kushoto) katika mazungumzo na Balozi wa Canada nchini Tanzania Mhe Alexandre Leveque aliyemtembelea ofisini kwake Ikulu
jijini Dar es salaam leo asubuhi. Balozi Leveque aliongozana na Mkurugenzi Mwandamizi na Mkuu wa Ushirikiano wa Canadian International Development Agency (CIDA), Bi Patricia McCullagh. Wa pili kushoto ni
Balozi Dorah Msechu, Mkurugenzi katika Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa anayeshughulikia kurugenzi ya Nchi za Ulaya na Amerika, akifuatiwa na 
ofisa dawati Bi Upendo Mwasha.

Picha na Ikulu

No comments:

Post a Comment