Tuesday, May 21, 2013

KAMATI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI

 Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Shamsi Vuai Nahodha na Jenista Mhagama (kushoto) wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM. Rais  Jakaya Kikwete wakati  alipofungua mkutano wa Kamati Kuu ya CCm kwenye  ukumbi wa White House (CCM) mjini Dodoma May 21 2013 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akifungua Mkutano wa Kamati Kuu ya CCM kwenye ukumbi wa White House (CCM mjini Dodoma Maya 21, 2013. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM , Zanzibar, Dr. Ali Mohamed Shien na Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment