Friday, May 03, 2013

DR. KAMALA ATEMBELEA TAASISI WERELD MISSIE

Balozi Dkt. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye tai ) akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Wereld Missie Hulp Peter Houlleberghs na Ilona De Coster Mkurugenzi Msaidizi. Balozi Kamala ametembelea Taasisi hiyo yenye makao makuu Antiwerpen Belgium kuiomba kushirikiana na Tanzania katika  harakati za kupambana na umaskini na kufikia malengo ya milenia. Taasisi hiyo imekubali ombi la Dkt. Balozi Kamala.

No comments:

Post a Comment