Friday, May 24, 2013

DR. KAMALA AKABIDHI ILANI

Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya na Mwenyekiti wa Mabalozi wa Ushirikiano kwa Manufaa ya Wote - Brussels  Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye tai) akimkabidhi  Ilani ya Ushirkiano kwa Manufaa ya Wote Mkuu wa Kitengo cha Ushirikiano wa Kibiashara Cha Jumuiya ya ulaya Bibi Sandra Gallina. Kulia kwa Bi. Sandra ni Dr. Mihela Smith Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Ushirikiano kwa Manufaa ya Wote (Smart Partnership). Mabalozi wa nchi za Afrika, Karibiani na Pacific na wadau wengine wamekutana leo Brussels, Ubelgiji kujiandaa kwa ajili ya Mkutano wa Ushikirikiano kwa Manufaa ya Wote utakaofanyika Dar es Salaa mwishoni mwa mwezi wa sita mwaka huu.

No comments:

Post a Comment