Thursday, April 25, 2013

WAZIRI MKUU DODOMA

 Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Maaskofu kutoka Kanda ya Ziwa waliotembelea Bunge Aprili 25,2013. kutoka kushoto ni Alex Lwakusumbwa, Z. Isaya na Charles Sekelwa. Wapili kulia ni Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Viti Maalum na Mkuuu wa Mkoa wa Rukwa, Stella Manyanya kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Aprili 25,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri mkuu)

No comments:

Post a Comment