Wednesday, April 17, 2013

RAIS MSTAAFU AONGELEA SUALA LA KUCHINJA MIFUGO

Rais Mstaafu wa awamu ya pili,Alhaj Ali Hassan Mwinyi akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati alipozungumzia suala uhalali wa kuchinja ambalo limekuwa ni gumzo sana hapa nchini kwa kipindi cha hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment