Tuesday, April 23, 2013

MKE WA WAZIRI MKUU AKUTANA NA WATOTO DODOMA

 Watoto wa Kijiji cha matumaini cha Mjini Dodoma wakifurahia zawadi ya asali waliyopewa na Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda (mwenye miwani katikati) wkati alipotembelea kijiji hicho Aprili 23,2013.Kulia kwake ni Mbunge wa Viti Maalum na Mkurugenzi wa Mfuko wa Catherine Foundation Limite, Catherenie Magige  ambaye pia alitoa zawadi mbali mbali kwa watoto wa kijiji hicho.(Picha na Ofisi ya Waziri  Mkuu)
 Mmoja wa watoto wa kijiji cha Matumaini cha Dodoma akifurahia pipi ambayo iliku ni miongoni mwa zawadi nyimgi za vyakula na vitu mbalimbali vilivyotolwa na Mke wa Waziri mkuu, Mama Tunu Pinda na Mbunge wa Viti Maalu, Catherine Magige ambaye pia ni Mkurugenzi wa Mfuko wa Catherene Foundation kwa watoto wa kijiji hicho, Aprili 23, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda (mwenye miwani katikati) na Mbungewa Viti Maalum na Mwenyekiti wa Mfuko wa Catherene Foundation, Caherine Magige  wakizungumza na watoto wa kijiji cha Mtumaini cha Dodoma wakati walipotoa zawadi za vyakula na vitu mablimbali kwa kituo hicho, Aprili 23, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment