Thursday, April 25, 2013

MATUKIO MBALIMBALI IKULU

  Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Katibu Mkuu wa Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Bw John haule  kwa Balozi wa Bangladesh nchini Mhe Wahidur Rahman baada ya kupokea hati zake za utambulisho na kisha kufanya naye mazungumzo leo April 25, Ikulu jijini Dar es salam.
  Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa na Mkuu wa Itifaki Balozi Mohamed Maharage kwa Balozi wa Kuwait  nchini Mhe Yacoub Y. Alsanad kabla ya ya kupokea hati zake za utambulisho na kisha kufanya naye mazungumzo leo April 25, Ikulu jijini Dar es salaam.
 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na  Balozi wa Kuwait  nchini Mhe Yacoub Y. Alsanad kabla ya ya kupokea hati zake za utambulisho na kisha kufanya naye mazungumzo leo April 25, Ikulu jijini Dar es salam. Kushoto ni Bw Abdul Rahman Al-Hashim, Meneja wa Mfuko wa Maendeleo wa Kuwait aliyeongozana na balozi huyo.

No comments:

Post a Comment