Sunday, April 07, 2013

KONGAMANO LA KUMUENZI MZEE ABEID KARUME LAFANYIKA ZANZIBAR

 Wajumbe mbalimbali waliohudhuria katika kongamano la kumuenzi muasisi wa mapinduzi-marehemu mzee abeid amani karume lililofanyika katika ukumbi wa chuo cha karume, mbweni zanzibar leo tarehe 06 April 2013.
 Katibu Mkuu wa jumuiya ya umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) akisalimiana na wajumbe mbalimbali waliohudhuria kongamano la kumuenzi marehemu karume.
Mgeni Rasmi katika kongamano la Kumuenzi Muasisi wa Mapinduzi-Marehemu Mzee Abeid Aman Karume, Ndugu Ally Vuai akiwasili katika Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Chuo cha karume, Mbweni Zanzibar.

No comments:

Post a Comment