Tuesday, April 23, 2013

KIKAO CHA MABALOZI WA AFRIKA JUMUIA YA ULAYA

Balozi wa Tanzania Jumuiya ya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala akiongoza Mkutano wa Mabalozi wa Afrika Jumuiya ya Ulaya wa kujadili changamato za uanzishwaji wa Mfuko wa Kijani wa Mazingira  Duniani.

No comments:

Post a Comment