Tuesday, April 09, 2013

BALOZI Dr. KAMALA AKUTANA NA WASOMI

Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala  katika picha ya Pamoja na Wanachuo kutoka Tanzania wanaosoma Chuo Kikuu cha Ghent nchini Ubelgiji. Balozi Kamala yuko kwenye ziara ya kikazi ya kukutana na Watanzania katika eneo lake la uwakilishi.

No comments:

Post a Comment