Friday, March 01, 2013

TFDA YATEKETEZA VIPODOZI VISIVYOFAA KWA MATUMIZI YA MIILI YA BINADAMU KAGERA

 Sehemu ya vipodozi vilivyoteketezwa na TFDA mkoani Kagera, viliteketezwa kwenye eneo la dampo la Kyakailabwa lililoko katika manispaa ya Bukoba, vilikuwa na uzito wa nusu tani na thamani yake ilikuwa zaidi ya shilingi milioni 4.7.

 Baadhi ya maofisa walioshuhudia uteketezaji wa vipodozi.

 Vipodozi hivyo.


No comments:

Post a Comment