Thursday, March 07, 2013

RAIS KIKWETE AMWANDALIA DHIFA WAZIRI MKUU WA DENMARK


 Waziri Mkuu wa Denmark Mhe. Hell Thorning-Shmidt akiongea wakati wa dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akigonganasha glasi ya kutakiana afya njema na  Waziri Mkuu wa Denmark Mhe. Hell Thorning-Shmidt  katika dhifa ya kitaifa aliyomwandalia Ikulu.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri Mkuu wa Denmark Mhe. Hell Thorning-Shmidt wakiangalia ngoma za utamaduni za kundi la JKT  katika dhifa ya kitaifa aliyomwandalia.

No comments:

Post a Comment