Friday, March 01, 2013

MEYA WA MANISPAA YA BUKOBA ANATORY AMANI AENDELEA KUKUMBANA NA WAKATI MGUMU

Mstahiki Meya wa halmashauri ya manispaa ya Bukoba, Bw Anatory Amani ameendelea kukumbana na wakati mgumu, hii inafuatia hatua ya madiwani ya kususia kikao kingine cha baraza la madiwani ambacho kilikuwa kifanyike machi , mwaka huu.

Madiwani wa halmashauri ya manispaa hiyo wameendelea kushikilia msimamo wao wa kumtaka meya huyo ajiuzulu, baadhi ya madiwani wanasema kuwa hawana imani naye, hivi karibuni madiwani wa manispaa hiyo walisusia kikao cha kujadili bajeti ya mwaka wa fedha 2013/14.

No comments:

Post a Comment