Friday, February 15, 2013

MAMBO YA VALENTINE YALIYOANDALIWA NA HOTELI YA WALKGARD

 Baadhi ya walioudhuria sherehe ya siku ya wapendanao valentine iliyoandaliwa na hoteli ya walkgard na kufanyika katika hoteli hiyo iliyoko katika manispaa ya Bukoba.
 Familia ya Bw. Stanley.
 Mkurugenzi wa hoteli ya walkgard, Adventina Matungwa akiongea na wadau ambao ni pamoja na Deo Rugailuba na mke wake.
 Bw. Rwechungula na familia yake.
 Dodeliva Bayona kulia na Agnetha Kakwemeile kushoto walikuwa miongoni mwa waliotunukiwa zawadi ya valentine.
Familia ya Bw. Mushobozi mshindi wa zawadi ya valentine iliyotolewa na hoteli wa walkgard.

No comments:

Post a Comment