Tuesday, February 05, 2013

 Kamanda wa jeshi la plisi mkoani kagera Philip Kalangi alikuwa ni miongoni mwa maofisa wa serikali walioudhuria siku ya sheria nchini iliyofanyika kwenye viwanja vya mahakama hiyo vilivyoko katika manispaa ya Bukoba.
 Viongozi wa madhehebu ya dini walikuwa miongoni mwa walioudhuria maadhimisho ya siku ya sheria nchini.
 Baadhi ya viongozi wengine mbalimbali wa serikali walioudhuria sherehe hiyo.
 Baashi ya mawakili wa serikali na wakujitegemea walioudhuria sherehe hiyo.
.
 Jaji mfawidhi wa mahakama kuu kanda ya Bukoba, Mjemas akikagua gwaride la heshima wakati wa siku ya maadhimisho ya sheria nchini.

Mwanasheria mfawidhi wa serikali Jackrine Mrema akiwasilisha taarifa wakati wa sherehe ya siku ya sheria nchini.

No comments:

Post a Comment